Hivi hizi mvua tunazitumiaje pamoja ya Kuwa zinaleta madhara?

Hivi hizi mvua tunazitumiaje pamoja ya Kuwa zinaleta madhara?

tatizo zinakuja ghafla, tunakuwa hatujajipanga
 
Lakini tunautayari wowote kama nchi kuzitumia ! Nadhani kuna haja ya kulifanyia kazi
 
Back
Top Bottom