Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
kwanin apite mbali mkuu?mathsjery mkuu mimi siifahamu hiyo mitaa wala nini ila nimevutiwa na kushangazwa na kitu kimoja,hizo picha mbili za juu,naona kama nyumba zimeezekwa na asbestos.
Sasa kama ni kweli ni asbestos na kwa post yako inaonekana kana kwamba zilikuwa zinavutia 2005,je hiyo 2005 kuna watu walikuwa wanaishi? Labda kwa kuwa upo maeneo hayo hebu ulizia kama ni kweli zimeezekwa kwa asbestos.
Kama ni kweli basi nakushauri tu uwe unapita mbali sana na maeneo hayo.
Hapana tumecheza sana hapo mchafukoga kwenda mbele halafu istoshe Kuna njia inapita mfano happy kwenye nyumba ya kwanza pembeni gari zinapita kwani naona kuna nyumbazigine zimejengwa humo humo Tena za kisasa but sijaelewa kuhusu hizi. Kuna mtu niliwahi kumtembelea ila tumepoteana kitambo alikuwa anaiahi kwenye hizi nyumba ndogo ukiacha maghorofamathsjery mkuu mimi siifahamu hiyo mitaa wala nini ila nimevutiwa na kushangazwa na kitu kimoja,hizo picha mbili za juu,naona kama nyumba zimeezekwa na asbestos.
Sasa kama ni kweli ni asbestos na kwa post yako inaonekana kana kwamba zilikuwa zinavutia 2005,je hiyo 2005 kuna watu walikuwa wanaishi? Labda kwa kuwa upo maeneo hayo hebu ulizia kama ni kweli zimeezekwa kwa asbestos.
Kama ni kweli basi nakushauri tu uwe unapita mbali sana na maeneo hayo.
Ndio zenyewe kakamathsjery,
Haya maghorofa ni ya pale karibu na uwanja wa mchafukoge? juu ya walfare? au jirani na ilipokuwa kiwanda cha Voil zamani?
Ukisema NDIO, Mimi nimeishi hapo miaka ya 78 hadi 80 mwanzoni .
Kaka yangu alisoma Azimio jirani na soko la Igogo.
Yamezeeka ni ya muda mrefu sana.
baadhi ya vifaa vya zimamoto, breki pads za magariokey
hivi vitu gan vingine vina hizo asbestos
hatari sanabaadhi ya vifaa vya zimamoto, breki pads za magari
Nimeishi hapo ghorofa la mwanzo kabisa linalopakana na uwanja wa mchafu koge. Hata enzi hizo yalikuwa yamesha zeeka.Ndio zenyewe kaka
Hizo zote yale yale, nazifahamu nilisoma ile chekechea ya kule mwisho kama unaelekea huko mkuyuni.Ila zile zingine mbele mbele kule Kama unaenda mkuyuni zina afadhalj kuliko hizi za maeneo mchafukoga
Watu wengi hawajui madhara ya asbestos mkuu hivyo wanacheza nazo tumathsjery mkuu mimi siifahamu hiyo mitaa wala nini ila nimevutiwa na kushangazwa na kitu kimoja,hizo picha mbili za juu,naona kama nyumba zimeezekwa na asbestos.
Sasa kama ni kweli ni asbestos na kwa post yako inaonekana kana kwamba zilikuwa zinavutia 2005,je hiyo 2005 kuna watu walikuwa wanaishi? Labda kwa kuwa upo maeneo hayo hebu ulizia kama ni kweli zimeezekwa kwa asbestos.
Kama ni kweli basi nakushauri tu uwe unapita mbali sana na maeneo hayo.
okey
hivi vitu gan vingine vina hizo asbestos
okey
hivi vitu gan vingine vina hizo asbestos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] elfu tatuNyumba za zamani za serikali hizo, walishauzia watu wake....ni kama za Soweto, KIA Airport, TAZARA, Jeshi la polisi, Magereza n.k
Ukiangalia Paa lake tu utajua.
Wapo wafanyakazi waliozinunua na wengine hawakununua ila wanalipa kodi sh. Elfu nne kwa mwezi (4,000/=) ukilialia basi ni 3,000/=