Hivi hizi timu za Kariakoo zina video analysis officer?

Hivi hizi timu za Kariakoo zina video analysis officer?

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Sharom wapendwa,

Hivi timu zetu pendwa za Kariakoo zina hao maafisa wa video analysis au sisi tunaangalia wasemaje wa timu ndo watatusaidia kutuvusha kimpira sasa hivi mambo yamebadilika sana kwa nini tusitoke huko kwenye zama za kale.
 
Simba alikuepo Calvin Mavunga sijajua kama yupo hadi sasa au la
 
Simba alikuepo Calvin Mavunga
Kwa hyo Sasa hivi hayupo?? Maana umesema alikuwepo? Coz Simba na yanga zote magori wanayofungwa iwe kimataifa au ndani kwenye magori yote 60% ni ya mipira iliyokufa Sasa hawafanyii kazi hao watu Kama wapo umekuwa ni muendelezo wa kufungwa magori ya aina Moja?
 
Nme edit vizuri
 
Kwa hyo Sasa hivi hayupo Maana umesema alikuwepo? Coz Simba na yanga zote magori wanayofungwa iwe kimataifa au ndani kwenye magori yote 60% ni ya mipira iliyokufa Sasa hawafanyii kazi hao watu Kama wapo umekuwa ni muendelezo wa kufungwa magori ya aina Moja?
yanga ndio wameajiri hivi karibuni
 
Back
Top Bottom