Kwa hyo Sasa hivi hayupo?? Maana umesema alikuwepo? Coz Simba na yanga zote magori wanayofungwa iwe kimataifa au ndani kwenye magori yote 60% ni ya mipira iliyokufa Sasa hawafanyii kazi hao watu Kama wapo umekuwa ni muendelezo wa kufungwa magori ya aina Moja?Simba alikuepo Calvin Mavunga
Nme edit vizuriKwa hyo Sasa hivi hayupo?? Maana umesema alikuwepo? Coz Simba na yanga zote magori wanayofungwa iwe kimataifa au ndani kwenye magori yote 60% ni ya mipira iliyokufa Sasa hawafanyii kazi hao watu Kama wapo umekuwa ni muendelezo wa kufungwa magori ya aina Moja?
YupoSimba alikuepo Calvin Mavunga sijajua kama yupo hadi sasa au la
yanga ndio wameajiri hivi karibuniKwa hyo Sasa hivi hayupo Maana umesema alikuwepo? Coz Simba na yanga zote magori wanayofungwa iwe kimataifa au ndani kwenye magori yote 60% ni ya mipira iliyokufa Sasa hawafanyii kazi hao watu Kama wapo umekuwa ni muendelezo wa kufungwa magori ya aina Moja?