Hiyo video iko wapi kaiweka hapa pia.Kuna video imepositiwa instagram na hii “page ya samia muuaji” mpaka nikajiuliza hivi hawa viongozi wanaziona kweli hizi video, na kama wanaziona wanasubiri nini kumwajibisha Samia. Yaani binadamu wamekufa kama kumbikumbi mpaka unahisi kama movie vile. Samia hafai wazee, tuache masihara huyu mama angejiondoa tu mwenyewe
Ingia page ya mange kimambi ya insta, kuna account kaitag, nenda kwenye hiyo account boss. Usipende kutafuniwa kila kituHiyo video iko wapi kaiweka hapa pia.
Ni hospital ya mwananyamala boss. Lazima watu wawajibike aiseeDah hiyo VIDEO sio poa kabisa..lazima watu WAWAJIBIKE!
Kama wa hivyo achana naye hakuna muda wa kubishana nayeLabda jamaa ni chawa analeta masihara kwenye issue serious