Hivi how do u feel when your partner talks to the ex?

Sijasema bado nampenda ila nimesema she has been the best love of my life


Mi sijasema kama umesema.....ila nimesema kulingana na nilivyokusoma. Maneno mbali...............vitendo mbali....😛eep:
 
You are taking it too seriously. Alisema kwa kutania tu. she wanted you to feel better baada ya mpenzi wake kukutukana, so you know that she doesn't support his behavior.
Yeah inawezekana alisema kwa kutania na hapa what am tryin to see is why did this bro react from my hi, coz from the conversation we had there was nothing he said which showed that he knew and i didnt tell him anything and unfortunately if he was trying to see ni watu gani the girl talks to much basi i culd turn out to be the last. Hapo ndipo ninapopata tabu kidogo
 

Your philosophy is a naive philosophy.
 
Mi sijasema kama umesema.....ila nimesema kulingana na nilivyokusoma. Maneno mbali...............vitendo mbali....😛eep:
Hahahahaaa haya let me honest with you hapa,

Tumeachana kwa zaidi ya miaka minne iliyopita, and believe me nilirecover from that almost a year later but believe me kama ningetaka kurudiana tungesharudiana siku nyingi sana but we didnt and we wont so nakuhakikishia kuwa ninachosema kinaendana na matendo
 
Duuh! Hiyo philosophy yako ni kali kuliko ndugu!...

Achana kuwasiliana na gf wa mwenzio, mie naamini lazima mmechart na vya chumbani ndio mana jamaa kakutukana, haiwezekani akushukie hivi hivi wakati umesema kuwa hajui kama huyo gal aliwahi kuwa mpenzi wako.
 
Mliachana au alikuacha?
 
Unajua kama leo kila mtu atasema hivyo then wanaume hawatakuwa wanawasiliana na wanawake zaidi ya ma gf wao na the same applies to women.
 



Kwa mujibu wa TUKI Kamusi:

Kisebusebu nm vi- [ki-/vi-] pretending not to like sth while really wanting it.

Jamaa anasumbuliwa na Kisebusebu na Kirohopapo hana haya wala soni!

Kama walishaachana sasa anamtakia nini? - mara hi! ooh! .. sijui nilikuwa nakusalimia tu ... mara ooh I just want kuku-wish nice weekend! .. hicho ndio kisebusebu! kama alivyosema PJ.

Mwache dada wa watu aendelee na maisha yake. And wewe shika Hamsini zako. Utakufa kwa kisebusebu!
 
Kwenye hiyo hiyo tuki yako kuachana maana yake nini? Kuwa maadui hata salamu msipeane au kila mtu ahame mtaa?
 
Inshort inauma hata m ctajisikia poa kabisa..
Okay, but pamoja na mazungumzo yote ya mi na yule bwana hakuna hata sehemu moja anayohisi mimi nilikuwa na mahusiano na gf wake ila sijui tu what was the reason for his reaction
 
If you've both moved on, then whats the problem?!
I wouldnt mind kabisa kama ni cheater ata cheat tu hata kama sio na ex wake.
Ya nini nijipe presha!
 

I bet you one of this days you will be back here crying out loud, ni sawa unavyoamini lakini based on my xprience na watu wengine ni vyema ukaamini kwamba inaweza tokea na pia fuatilia japo kiasi fulani usije ukakumbana na surprises. Pia wadada wanaenjoy ukionyesha unafuatilia nyendo zao
 

Mi nauliza mkubwa utajisikiaje ukipata kwa bahati mbaya kujua kuwa mkeo ama rafiki yako wa kike uliyenae sasa ana mawasiliano na X wake aliyempotezea usichana wake kwa mfano, tuseme kuwa mawasiliano hayo yanayoshabihiana sana na hayo uliyonayo wewe sasa na huyo x wako wa kwanza? Utajisikiaje? hebu jiulize na jijibu moyoni mwako kiukweli....
 
mara nyingi mke na mume wakiachana, ndio imetoka, mkiwa na mazungumzo ni kama siasa. ila ex bf na gf mkiachana, kuna siku isokua na jina mnaweza mkakumbukia. huyo tapeli wa ki nija analijua hivyo ndio maana kazuia mapema. wewe kama unae mwingine kwa sasa bora concentrate nae achana na vya watu maana mlishamalizana. jiweke kwenye position ya m nija, gf wako anachat na ex wake kila siku, utajisikiaje kaka?
 
Alijuaje kuwa wewe ni ex wa gf wake? Au mlipokuwa mnachati mlikuwa mkikumbushana?
 
Musimo Jr
Unless I ve been given sufficient reasons to be concerned, I do not mind if my patner communicates with his ex. I actually could careless! Im more of the mind, binadamu hachungiki so................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…