Jombaa, shilingi moja ya Somalia ni sawa na shilingi nne za Tanzania. 1 SO Shilling- 4 TShs. (1$- 567 SOS)Hizo pesa zote ulizoona kwenye hiyo video, ukija Bongo unapeleka kwa mama wauza mihogo unawauzia kama kuni halafu Wanakupa elfu kumi.
Kwani alshababu bado Wana nguvu somaliaSomalia pesa ni nyingi na risasi pia ni nyingi na kutekwa pia kwingi.
Hakuna vita huko?Wapo vizuri...
Jombaa, Somaliland kuna amani ni eneo ambalo lilijitenga na nchi ya Somalia tangia vita viibuke Somalia mwaka wa 1991. Ila bado hawajapata 'recognition' rasmi kama nchi. Wenzao wakipigana wao walikuwa wanajiendeleza na wakimbizi wa kisomali walikuwa wanakimbilia 'nchi' hiyo, kwasababu wao hawakuguswa na vita hivyo.Hakuna vita huko?
🤔...nataka nianzie Kilwa Kisiwani kwanza halafu ndio nifikirie kwenda huko.Kuzuri sana kule kuna hoteli na sehemu nzuri sana za kiutalii