Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma?

Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1459_1983925621546385850517385832645741176918n.jpg

i1531_17452131306339587015092278218550227437984n.jpg

Anaona, Anasikia na anajua kusoma ndio maana anatuma text kwa cm, huo ni WENDA WAZIMU
 
Anaona, Anasikia na anajua kusoma ndio maana anatuma text kwa cm, huo ni WENDA WAZIMU
hivi mtu kama huyo akishitakiwa atasema ameonewa?
 
Bongo tumezoea kuvunja sheria ndo maana jamaa anaona haina uzito, anakaa tuu. Mbona dala dala zimeandikwa pale Kimara - Posta lkn mtu anaenda mlangoni anamuuliza konda WAPI HIYO, konda bila siri wala nini kwa sauti ya juu anatia KIMARA POSTA HIYOOO, BONGO tambalale bana
 
hahahahahahahaha.....
 
Chimu hahaaaaaa am dying here!!!!!!
Bongo rahaaa jamani!!!!
usikoje hapa ndo kama umewaambia kojoeni hapa hapa !!!
 
jamani hii picha nimecheeeeeeeeeeeeeeka mwenzenu hahahahah
 
jamani nyie ndy hamna akili!!!....nyie mnaona amekaa sehemu waliyosema hairuhusiwi? amekaa juu wa msingi, siyo juu ya maandishi. MWE
 
Kutafuta attention; hamjui siku hizi kuna 'JF Reality Show'?

Basi subirini mtaona mengi ya kujitungia katika Orijino Komedi style kila mahala nchini.

Kwa wenzetu kuna mzee sasa anatumikia kifungo (ingawa anaendelea kukana) kwa kubumba tukio mbele ya Polisi na vyombo vya habari eti mtoto alikuwa katika hatari ya maisha ndani ya balloon lililokuwa tupu.
 
Labda alitokea the other side of the warning!!!
 
this shows y this country will never develop too many stupid pipo
 
hahaaahaaaa!
Ukitaka kujua zaidi,mwulize kwanini umekaa hapa.... halafu tutumie majibu!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Anazo akili timamu hayo maandiko yangekuwa kwa mahali alipoketi ingekuwa ni sahihi ila yapo ubavuni ambapo hata huyo aliyeandika sidhani kama anaweza kukaa hapo.
 
Back
Top Bottom