Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma?

Kwani ni huyu tu mbona Watanzania siku zote huwa hawana tahadhari,Hata kama kuna transformer ya umeme mbona watu hukaa chini yake wakasahau kuwa ni sehemu hatari?
 
Nimekusoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…