Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
-
- #121
We we utakuwa wakwanzaKuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
zitori kabwela?
mchawi hajirogi mkuuWe we utakuwa wakwanza
duuuuh.........hebu aanze na mimiHuyu jamaa alisema akifanya mambo yake hata panya hawatasalia..
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
mmojawao nini?murutongore
niroge sasa mkuumwanawapwipwimwanawandegemzindakayajamiiforumshakunawachawizaidiyangu
samunge si bado kupo mkuu?maisha tu yako yameshakuroga, sasa irogwe mara 2 si utakimbia nchi na kisha uende zanzibar kutafuta dawa.
Hehehehe mbavu zangu mieKichwani sio kijogoo ni mtetea
mchawi hajirogi mkuu
Una uhakika mkuu?uchawi haupo!!