WANAKUJA...
Mmmmmmh!twig twichingew veneryoilakuitee pruuuyaah makenziehe champurla chuimw meeee jogoolololooo na likwibete.
RUDIA KUSOMA AYO MANENO KISHA KAJIANGALIE KWENYE KIOO NDO UTAJUA UMEROGEKA AMA VIPI. USTANIE FANI ZA WATU SIKU NYINGINE.
Watoto sana hao mkuuMfano; UKAWA ni wachawi wa katiba yetu.
Mkuu usinitishe we niroge kama una ubavuMwambie aweke majina yake na jina lake na mama ake
Na huyo kuku karogwa pia?Kichwani sio kijogoo ni mtetea
Huyo kuku kesharogwa,hapo haelewi lolote!!!kuku anasomewa hapo hata ukimfukuza hatoki kichwa,hapo ya ulimwenge lazima uyapate
Mmmh wachawi wengi humu!!ulaaniwe ktk jina la yesu badala ya kuuliza waliompokea yesu unauliza wachawi
Ngoja wakuroge!subiri kidogo tu mkuuMchawi ni mtu wa aje!
Asharogwa huyu!!Halafu huyu mtu sijui kapotelea wapi!!
hata mi naamini kuna wachawi maana nashangaa thread yangu imefutwa sasa jf huu ni upuuzi hamna uhuru wa kutoa maoni nawaambia aiko hivyoooMmmh wachawi wengi humu!!
Mfano; UKAWA ni wachawi wa katiba yetu.
unajua wewe dogo ni ms.enge sana,unakuwa unawashwa mda wote
Nimeipenda mkuu!ila roho mbaya pia ni uchawi,halafu wasomi humu ni wengi eeeeh?kila mtu utasikia 'nilipokuwa second year,nilipokuwa third year!!'...au tunazinguana?kweli roho mbayahuwezi kumroga mtu kama huna majina yake matatu au alama yake kama nywele au unyayo. jf hakuna wachawi bali kuna wasomi wenye roho mbaya
Huu ni uchawi digital?mnanitishaMi nilidhani umeacha u.....nge.. kumbe bado! UKAWA ni janga watakupasua!
Abdakadabraa!!unajua wewe dogo ni ms.enge sana,unakuwa unawashwa mda wote