The professional
Member
- Apr 11, 2013
- 59
- 98
- Thread starter
-
- #41
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wahumu wanauwezo wakukuzaa huku wanafua.
Huku ni magube gube ndio yapo.
Kuwa specific unataka kuona ninHebu nikuone
The Professional
Nataka kuona urembo wako. Kitu ambacho kinakufanya ujikubali we ni mremboKuwa specific unataka kuona nin
AiseeeHumu wapo wanajiita great thinkers wanataka 50 by50 Yaan in short wapo Kama madume
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi amepata ka benten wala hataki kunisikia!Hujafanikiwa kumtolea posa bado?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Wapo ila.....
Miss natafuta muhuni sana...nimeshamuona live miezi 2 iliyopita.Wapo,akina Miss Natafuta!.....search halafu ukimpata kwenye uzi wowote mtongoze!
Ana uhuni gani mkuu?........nidokeze aghalao kidogo tu!Miss natafuta muhuni sana...nimeshamuona live miezi 2 iliyopita.
Vp hayo macho[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yanashangaa hiyo ila...Vp hayo macho
Wapo ila kuwajua ndo ngumuYanashangaa hiyo ila...
Basi sawa.Wapo ila kuwajua ndo ngumu