Noel Mobeto
Member
- Sep 8, 2017
- 40
- 30
hicho cheo ndo nakiskia leo. mm ni Hotel manager, au hujaona kuna uzi natafuta kazi?wala siyo kutafuniwa,mimi huwa natoa posho kwa maspy wa kutoa data kama wewe!!
Mkuu kazi hii inalipa zaidi!!hicho cheo ndo nakiskia leo. mm ni Hotel manager, au hujaona kuna uzi natafuta kazi?
Unanitaka? Ki vipi mkuuvenossah nakutaka please!!
Mbona kila siku unakutana nao....au we mwenzetu kipofuuuu...waje tuwaone sasa
Unawatakia nini [emoji40]Wanapatikana wapi? Au kuna special thread ambayo wamejazana humo?
The Professional
Duh!hawa mungu aliwaumba weekend akiwa ame relax sio?Instagram kuna watoto wakali..... Mademu wa jf ni wabovu wa sura balaa...
Wapost hata picha zao basi tuwaone. Wengi tunaishia kuona majina ya kike kumbe midumeMbona kila siku unakutana nao....au we mwenzetu kipofuuuu...
Nawatakia kisichojulikana
Jf haiwezi ikawa na mtambo kama huo mzee humu nahisi wengi vibibiWapooooo...
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Uweke na majina yao tafadhaliDuh!hawa mungu aliwaumba weekend akiwa ame relax sio?
Tatzo la ww ushajiita Mrs Van......so kuna kampaka hapoKwani instagram kuna mbaya?
Instagram kila msichana mweupe, ana tako, mrefu, hana upele wala utanga tanga, n.k.
Nakutaka central!......nimepata taarifa kuwa wewe ndo wale watu wasiojulikana!!Unanitaka? Ki vipi mkuu
Kua Mrs Van na mada husika vinahusikaje