Hivi humu JF kuna warembo kama insta au ni zaidi ya insta??

Status
Not open for further replies.
Kwani instagram kuna mbaya?
Instagram kila msichana mweupe, ana tako, mrefu, hana upele wala utanga tanga, n.k.
Unataka kuniambia insta hakuna ambao wanajipost kama walivyo bila editing?

The Professional
 
Jf kama kijiji tu kuna kila sampuli ya wanawake,sema tu ndo tupo nyuma ya fake ID's.Unaeza kuta demu wako pia yumo huku sema tu hujui.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…