Mpambanaji17
Senior Member
- Feb 18, 2024
- 100
- 181
Kwamba sikuhizi imejaa vilaza na maskini?Miaka hiyo nimeuza Sana humu JF Sana
Na kuna ID yangu flan ya zamani ule Uzi unatembea Hadi Leo
Yaani niliweza kuishi kwa biashara ya JF
Sema enzi zile JF ilikuwa ya wenye hela na wasomi Tu
Huoni post za zamani tofauti na za sasa hivi? Kama ni mgeni embu pekuaKwamba sikuhizi imejaa vilaza na maskini?
Hii ni kweli kabisa.....vilaza n wengi + ujuaji usio na mashiko.Huoni post za zamani tofauti na za sasa hivi? Kama ni mgeni embu pekua
HahaaaLazima tuseme, dalali unauza kiwanja chenye Banda lililochakaa lipo kinondoni eti billion 5