Hivi humu ni haramu kuweka identity (photo)?!

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
948
Reaction score
548
hamjambo wakubwa ..
Poleni kwa kazi ya kujenga maisha yako.
Rasmi katika mada,hivi humu ni haramu kuweka picha yako halisi ?
mim binafsi nimeweka picha yangu halisi ila asilimia kubwa hawajaweka picha zao halisi na endapo mtu akiweka picha halisi kwenye thread watu wana discus shit sana ni nin shida ? je ni haramu kuweka picha humu? kwa wanawake najua hata kwa mujibu wa dini yangu ya kiislam sio sheria mwanamke kuweka picha yake hadharani je nyinyi midume wenzangu msio na wake wanne ni haram kuweka picha humu au ni maamuz tu? jina fake picha fake mtandao pia unakuwa fake.
 
Naomba nitoke nje ya mada....
Hivi kwenu kuna wakubwa kweli?
Mbona yaonekana kama hauna adabu.......[emoji47] [emoji47]
 
Sawa tumekujua

Be patient. The lessons you learn today will benefit you tomorrow.
 
Mi haramu endapo tu una uso mithili ya 'chiu'
 
mashallah kama ni wew huyo

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
inawezekana sina ila kwan ningekuwa nazo ungeziona mkuu?
Basi sawa, ingawa nimeshtushwa na maandishi ya kwenye hiyo t-shirt uliovaa.
Yaani najiuliza kama unaweza pita mbele ya wazazi wako, ama kuivaa mbele ya jamii ulio staarabika...[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
unatakiwa kusoma vizur haijaandikwa ulivyo fikiria hiyo sio I love hot bitches hiyo ni i love hot beaches unatakiwa ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha ,eksi na kuzidisha mkuu
 
unatakiwa kusoma vizur haijaandikwa ulivyo fikiria hiyo sio I love hot bitches hiyo ni i love hot beaches unatakiwa ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha ,eksi na kuzidisha mkuu
Jua kwamba wachina hawajui kingelesa. Wanaweza kuandika Beaches wakimaanisha bitches. Anyway weka picha yako halisi na majina halisi. Si haramu kabisa. Kuna member lukuko huku wana majina halisi. Wanaitwa "Verified Users". Wengi wao wana mke mmoja mmoja 'anayefahamika'. M.f Paskasius osward , Petro E. Mselewa , n.k
 
Safi jibu la hekima ila ujawahi fika hot beach ,cyo mchina hyo printed by tz artist na mim ndio mtoa words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…