Hivi humu watu mnatafuta pesa saa ngapi?

Hivi humu watu mnatafuta pesa saa ngapi?

Maisha yamebadilika mkuu, hizi siyo zama za Magufuli, siku hizi kazi kazi kidogo bata kwa sana
 
Furaha yetu sio pesa
IMG-20230806-WA0000.jpg
 
Kesho kutwa.

Sie wengine hela tunatafutiwa na waliotupotezea hela zetu.
Maana aliyepoteza ndo anatakiwa azitafute.
 
Back
Top Bottom