[emoji3][emoji3]Ndiyo maana wakiombwa hela wanapaniki
Kwani wamekuomba hela ya kula?Ajabu kuona kila time watu wana reply watu wanachati hadi sa 6 usiku kucha.
Hajui mjini Shule 😂😂Joni ndugu hajasikia buku 7 huyu. Wengine ndiyo wapo kazini hivyo.
TunabetAjabu kuona kila time watu wana reply, watu wanachati hadi saa 6 usiku kucha.
Na kudinywaMie nalishwa bure na mume wangu, bundle nawekewa....Kazi yangu Kula kulala, na kulala tena.
heee kumbe? hiko itakuwa nilipitwa mpwa, ninavyokumbuka maazimio ya kikao cha mwisho nilichohudhuria humu wote tunaendesha gari kali, vacation zetu ni 'yuropu', usa na dubai, tuna miradi na kampuni kubwa kubwa, na tumeajiri vijana kutoka facebook huko.Kikao cha mwisho tulikubaliana humu wote ni majobless bhana
🤣🤣🤣tuko 24/7 ndugu.
Tutatafuta kesho kutwa.Ajabu kuona kila time watu wana reply, watu wanachati hadi saa 6 usiku kucha.
Apauke kweli🤣😂😂 sasa jaribu kuwaiga, upauke.
Unapenda pesaMi furaha yangu ni pesa
We hupendiUnapenda pesa
Saa hiiAjabu kuona kila time watu wana reply, watu wanachati hadi saa 6 usiku kucha.
Hii wengi hawataielewaKesho kutwa.
Sie wengine hela tunatafutiwa na waliotupotezea hela zetu.
Maana aliyepoteza ndo anatakiwa azitafute.
that trueeeeeWatu wana njia tofauti ya kutafta pesa mwingne pesa yake anaipata online 24/7