Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Wakikuelewesha unieleweshe na mie tafadhali!
!
Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje? maaana mie siuelewi hata kidogo, superspot wanauonesha tena live na washabiki kibaoooo sasa kinachonishangaza zaidi wakati sielewi najujutajujuta naona wao wanashangilia kweli kweli na kupongezana, kafungaje? sijui....kimetokea nini sijui. Hebu nieleweshwe wadau wa humu kama yupo mjuvi wa huo mchezo.
Wakikuelewesha unieleweshe na mie tafadhali
Poker ule wa kamari? Nimecheza sana udogoni mwangu kama video game.Huu mchezo kwa bongo sidhani kama kuna mwenye Uelewa nao .
Pamoja ...na Poker
Poker ndio Giza Nene kabisa Pamoja na Ujanja Wa Watu Humu JF...nilishawahi uliza hakuna anayejua . Nadhani kwa vile inahusisha Hesabu ndani yake .
Ajabu ya huu mchezo ulianzia England,, lakini Africa hatukufundishwa.!