Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake lilivyochafuliwa na huyu mwanaume yy anaishia kusema samahani dada yangu nimepitiwa suruali nae imechafuka vibaya hii ni ugonjwa au ni nini wanajf hii naishudia live hapa
Niliwahi shuhudia live ni aibu sana jamaa alinyamaza kama kaloa na mvua
<br />mfadhaiko..... it reminds me of.....