Hivi huu uchawa ni njaa kali? Upungufu wa akili? Au ni vyote kwa pamoja.

Hivi huu uchawa ni njaa kali? Upungufu wa akili? Au ni vyote kwa pamoja.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Aiseee,

Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea,

Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia kaburini

Atasema "fxxk this shxt, i didnt die for this"
 
Tatizo ni kuwa na viongozi wasiochagulika, na wao ndio wanatengeneza hii tabia ya uchawa.
Wanaendekeza tabia ya uvivu kwa kukumbatia vijana wapumbavu wasio na haya wenye tabia za kimalayamalaya hivi.
Dawa ni kuwa na katiba bora itakayopunguza madaraka ya Rais yanayomuwezesha kuteua yeyote bila kuhojiwa na madhara yake ni kutuletea watu wajinga wasio na tija wanachoweza ni kumuimbia nyimbo za kumsifu na kumpandisha mabega.
 
Back
Top Bottom