Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
๐๐๐๐Tatizo ni uvivu; watu siku hizi hawataki kulima, kufuga, kufanya kazi n.k siku hizi wanalima na kufuga kwa midomo (kuongea).
๐๐Teuzi mkuu,unadhani tutafanya nini sasa๐คฆ
๐คฃ๐คฃ๐คฃHakuna namna ๐ฅด๐๐
100% perfect.Tatizo ni uvivu; watu siku hizi hawataki kulima, kufuga, kufanya kazi n.k siku hizi wanalima na kufuga kwa midomo (kuongea).
๐๐๐Kataa ndoa mkuu...๐ถ
Ndoa ni ukatili....๐คจ
Ila mtaani pakavu duuh๐๐คฃ๐คฃ๐คฃHakuna namna ๐ฅด
Tatizo ni kuwa na viongozi wasiochagulika, na wao ndio wanatengeneza hii tabia ya uchawa.Aiseee,
Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea,
Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia kaburini
Atasema "fxxk this shxt, i didnt die for this"