Hivi huu ulimbukeni wa kumwagiana maji wakati wa "birthday" party ni utamaduni wa wapi?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
 
Hata Mimi huwa naushangaa huu utamaduni mpyaaa.

Majuzu kati kuna mfanyakazi Mwenzangu alimwagiwa maji, yaani kabadili Nguo Mara mbili.
Akaja kanambia 'usinimwagie Maji washkaji wamenimwagia Maji Mara mbili'!!!

Nilimjibu,
Ungejua ninavyouchukia huo mtindo usingesumbuka hata kuniambia hivyo'

Sijui Mimi ndiyo naonekana Mkale a.k.a Muhenga????
 
Nadhan hiyo issue ime sapportiwa sana na watu wasio julikana so tukomae nayo tu hakuna namna
 
Wabongo kwanini hatupendi kuheshimu wanachopenda wenzetu. As long as hicho kitu hakikuathiri achana nao. Wamwagiane maji vyovyote vile ni furaha kwao. Mi sijawahi sherekea birthday mpaka umri huu, ila hiyo sio sababu ya kumuita limbukeni atakayeamua kusherekea. Kabla ya kumuita mtu limbukeni jaribu kujiuliza mambo unayofanya yanampendeza kila mmoja?! Au kwa kumwagiana kwao maji imeathiri vipi maisha yako na shughuli zako za kila siku za kujiingizia kipato?!! Stress nyingine huwa za kujitakia asee, Waache wafurahie maisha.
 
Mie ukinimwagia nakuramba makofi shubamit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna siku furaha ilibadilika huzuni nilimpa likibao lilio kusanya. Pua na mdomo mdogo wangu flan ivi wakike et nyokonyoko na mimaji ya ukoko.. hato sahau nauhakika
Hahaaa.. Mkuu umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…