Hivi huu ulimbukeni wa kumwagiana maji wakati wa "birthday" party ni utamaduni wa wapi?

Kufanya hivyo anatakiwa mtu aliyekuzidi kama miaka 5 au zaidi maana ninavyofahamu mimi nikama vile wanakurudisha enzi za udogo wako wakat unaogeshwa sasa unakuta mtu umemzidi umri alafu anakumwagia maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…