Jana nimesikia Premier league wakisema mechi za Jumamosi mpaka jumatatu kutakuwa na ungwaji mkono wa Ukraine mechi zote na ma captain wote watatakiwa kuvaa kitambaa cha captain rangi ya Ukraine na matangazo yote ya ndani na internation Tv rights kwa maana nyingine hata sisi wa Africa DSTV ni lazima tuangalie.
Ok mimi sina shida na hili japo unalazimishwa kuunga mkono hata kama wewe ni team Putin. Swali langu akitokea mchezaji akasema mimi siungi mkono kama ile hali ya kupiga goti wako wachezaji wamesema hapana haina maana yoyote unadhani atachukuliwa hatua gani?
Alishawahi kutokea mchezaji wa Egypt alifunga goal akavua jezi kuonesha maneno ya kupinga mauaji Gaza alichokipata mechi 10 ban wakasema hakuna siasa kwenye michezo.
Leo hii wamesahau walichokuwa wanahubiri no politics si wangeacha watu wajiamulie wenyewe. Wamemsakama Abrahmavic mpaka kaamua kusema basi nauza team napesa sina shida nazo sasa ukiwasikia ohh alikuwa rais bora sana wa club we will miss him.
Utasikia pesa zao sio halali sasa mtu yuko na team miaka 20 leo ndio mnajuwa pesa sio halali? Kuna siku utasikia captain wote wavae raimbow kuunga mkono mashoga wanavaa bila kujuwa kuna watu hawataki.
Yale mambo ya ki comunist ndio wanayafanya leo kelele tushike mali za watu kweli unashika mali ya mtu bila kumpeleka kwenye mahakama za kisheria unataifisha mali zake? unafiki wa kiwango cha lami.
Angefanya mwingine hapo ungesikia kelele masaa 24 yaani wako busy na Putin mpaka wamesahau corona na Zouma kumsukuma paka.