wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Sorry kwa swali kama litawaudhi naomba mnisamehe/kumradhi.
Wakati mwingine huwa nawaza katika maisha uzeeni huko mbele sijui itakuja kuwaje,sasa leo nimekaa katika kuwaza likanijia swali.
Katika mwili wa binadamu Mungu alituumba na kutuwekea kinga za ndani ya mwili na kinga za nje ya mwili.hapa tujikite hizi kinga za nje ambazo zinakinga baadhi ya viungo vya nje ya mwili kama pua,kidevu,masikio,mdomo ngozi na hata sehemu za siri.
Katika viungo hivi Mungu akavipa kinga (nywele)ambazo huzia baadhi ya maambukizi kwa njia mbali mbali.
Kwenye hizi nywele kadri siku/umri /miaka vinavyokwwenda hizi nywele hubadilika rangi, kwa upande wa kunakoonekana tunaona kabisa kama ni kichwani zinabadilika rangi na kuitwa mvi ,kama puani au kidevuni au mikononi nazo zinabadilika rangi kuwa nyeupe(mvi)
Sasa hapa nauliza huu upande mwingine(huku chini)hivi nazo hubadilika?
Samahanini kwa swali.