Hivi huu utumwa wa fikra Hadi lini?

Hivi huu utumwa wa fikra Hadi lini?

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja.
Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo tunayofundishwa katika nyumba za Ibada Kuna mahala hapako sawa.
Karibuni kwenye mjadala nitarudi baadaye kidogo.
 
Attachments

  • 1680935725263.jpg
    1680935725263.jpg
    49.3 KB · Views: 6
Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja.
Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo tunayofundishwa katika nyumba za Ibada Kuna mahala hapako sawa.
Karibuni kwenye mjadala nitarudi baadaye kidogo.
Au kwasababu umeona mwafrika msalabani ukaona ni ujinga?!
 
Haya maigizo ya walutheri wa azania front na wakatoliki wa st, joseph kwa kweli ni ya kipuuzi na iwe mwisho kuigiza. Yesu gani ana kitambi utadhani kavimbiwa uji wa mtama? Ni bora waadhimishe mateso ya Yesu kama wakristo wengine wanavyoadhimisha kuliko maigizo hayo ya kipuuzi. Zile sinema za kina Brian Deacon na Jimmy Caviazel zinatosha kuzitazama kama kumbukumbu ya kudumu kwa maisha ya Bwana Yesu alipokuwa duniani
 
Back
Top Bottom