The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Au kwasababu umeona mwafrika msalabani ukaona ni ujinga?!Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja.
Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo tunayofundishwa katika nyumba za Ibada Kuna mahala hapako sawa.
Karibuni kwenye mjadala nitarudi baadaye kidogo.