Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Amita bachani
hahahaaaa jamaa wewe unaonekana umetokea wapi
Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje.
Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu.
Naomba mnisaidie jina lake tafadhali.
Thanks a lot...!