sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
hapo unakuta BIMA ndo wana liwa vizuri sana. so huwa wana pendekeza kutibia bima sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea mkuu. Hizo huduma za awali hajapewa bure. Kalipia file, consultation na vipimo so kuandikiwa dawa then aamue ni haki yake coz huduma hiyo alisha ilipia kwenye consultation fee.Hiyo ni biashara kama biashara zingine waliogopa kukutajia jina la dawa huenda ungekwenda kununua sehem nyingine wakati wao wamefanya uchunguzi na kugundua dawa itakayo mfaa dogo
Pole lakini kama ulikuwa hujajipanga lazima utamaind tu
Sio kupigwa, hiyo 20,000/= wanaita consultation fee, yani ile kuingia tu na kuongea nae hata ukiongea nae ikaonekana huna tatizo ukaondoka lazima umwachie 20 yake akale bia [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo ile 20,000 ya kumuona Doctor inakuwa kama unalipia kuona sura ya doctor na sauti yake which means akikupa hata panadol ya kushusha homa au painkillers kule chumbani kwake ni additional cost [emoji1495][emoji1495][emoji1495][emoji1495]. Nikienda hapo hospital nitamwambia doctor wala asiniguse maana nimelipia 20,000 kwa ajili ya sura yake kuitazama [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Suala la afya watu tunapigwa sana
akanywe bia sio safi sanaSio kupigwa, hiyo 20,000/= wanaita consultation fee, yani ile kuingia tu na kuongea nae hata ukiongea nae ikaonekana huna tatizo ukaondoka lazima umwachie 20 yake akale bia [emoji23] [emoji23]