Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Dhambi ni dhambi tu.
Kwa wale wenye imani zetu hapa JF,
Ni jambo jema kiimani unapomkosea mtu.
Kukashifiana ni dhambi.
Sasa unapomtukana mtu hapa JF hakuna tofauti na kumtukana mtu huko mtaani.
Kwa kua tunatumia fake ID basi hatufahamu umri halisi wa kila member.
Unaweza tukana mzazi bila kujua.
Wasiwasi wangu ni kama watu huwa wanatubu dhambi ya matusi hapa JF.
Unaweza usiingie mbinguni hivi hivi.