Hivi huwa mnautumia msemo wa “If they don’t give you a seat at the table, bring a folding chair”?

Hivi huwa mnautumia msemo wa “If they don’t give you a seat at the table, bring a folding chair”?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Msemo huu ulitolewa na Shirley Chisholm (Mwanamke wa Kwanza Mwafrika-Amerika katika Bunge la Marekani):

– Huu ni ujumbe kwa wanawake kwamba wanapaswa kutengeneza fursa pale ambapo hazipo.

Wanawake wanahitaji kuwa na ujasiri wa kusimama na kuunda nafasi zao, hata kama wanakutana na vizuizi au vikwazo.

Huu msemo sio kwa Wanawake tuu, mtu yeyote anaweza kuutumia kama inspiration

Swali ni je, umewahi kuuapply katika maisha yako?
 
"If they don’t give you a seat at the table, bring a folding chair.”
 
Back
Top Bottom