Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
5,987
Reaction score
6,682
mwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!





 
hahahaha mkuu nilikuwa siwajui hawa wadudu zaidi ya kuwasikia tu ila mwaka 2011 ndo niliwafahamu moja ya viumbe wenye roho ngumu hawa nao wapo.
yaan me nimedum nao toka mwaka 2015 hadi 2018, ilifikia hatua nikazoe hiyo hali ya kung'atwa ng'atwa ila kuna rafki yangu alinitembelea maghetto ndipo ndipo akanishauri ninunue dawa, kww kweli kwa ile haibu nikajitoa tu kununua kubishi ndipo ikawa tiba!
 
Sijawahi kulala nao vidudu vinavotisha ningehama nyumba
yaan[emoji41] me mwenyewe nmepost hizo picha huku mwili unanisisimka kweli, kwanza wana harufu mbaya kama tapiko la mtu alievimbirwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijawahi kulala nao vidudu vinavotisha ningehama nyumba
yaan[emoji41] me mwenyewe nmepost hizo picha huku mwili unanisisimka kweli, kwanza wana harufu mbaya kama tapiko la mtu alievimbirwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hao wadudu nyoko sana walitufanyaga unasoma hadi saa7 Au 8 yaani ukifika kitandani upo hoi ni kuwafaidisha tu.

Shikamoo Nsumba high School
 
mwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!View attachment 1085093View attachment 1085094View attachment 1085095
hawa wadudu waliwahi kunipa tabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nasafiri na basi la mohamed trans la dar - bukoba

ni katika kile kipindi ambacho mabasi ya mohamed trans yalikuwa yanaenda ukingoni kufa, wahusika walikuwa hawapulizi dawa.

mziki ulianzia kahama mida ya usiku. basi zote zilizokuwa zinatoka dar kwenda bukoba ziliamliwa zilale kahama ili alfajiri ziamshe kuendelea na safari.

baadhi ya abiria waliamua kwenda kulala lodge za jirani na pale stendi na sisi wengine tukakomaa kwa kulala ndani ya basi.basi weee acha tu. kunguni walitufanya kitu mbaya sana. hakuna abiria aliyelala.

ilikuwa ni fulu kujikuna....ikabidi nitoke nje nikaenda kukaa na madereva bodaboda... nikapiganao story mpaka asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…