Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Tatizo la polisi wetu hali zao ni mbaya lakini wanajidai hawaoni.
Wakikamata bangi wanavuta mzigo wote ili kuondoa stress.
Wakikamata gongo wanaigida yote.
Wakikamata unga wana I sniff utadhani wao ndio sniffing dogs.
Kwa mwendo huo unadhani watakuwa na akili timamu?
Ndo maana wanaacha doria na kwenda kucheza disco huku wakiwa na binduki zao
Na nyie, huu mgomo wa walim au wanafunzi?
Waoga wakubwa mnaacha kuandamana nyie mnawatuma watoto.lol!
Jitokezeni muandamane nyie.
walimu wameandamana au wamegoma? Oh sory nimesahau namuulza mtu anaitwa "nata"
unategemea akili yke iwe vp zaidi ya "mnato"
Nilifundishwa zamani kuwa Ukibishana na mtu punguania asiyejitambua inaweza kueleweka kuwa wote ni pungwani. Maana hata unachosema inaonyesha umekata tamaa
Nilidhani jicho lako linaona mbali, kumbe myopic!