Hivi huyu alinipenda kweli?

The_Emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
871
Reaction score
125
Kwanza kabisa niwasalimu wote na poleni na majukumu ya kujenga taifa letu;Nilikua na rafiki yangu wa kike,nilimpenda kweli awe mpenzi wangu ila sikuwahi kumwambia kwa kuwa tulikuwa tumezoeana sana sana kama marafiki wa kawaida!Basi sikujua kumbe na yeye alikuwa na hisia kama zangu,kwa mdomo wake akawa ameniwahi kuniambia amefall in love na mimi;Ila mimi kwa ujinga wangu nikajifanya kama nilikua sina wazo la kuwa naye;Basi nikawa namchenga kama miezi 2 ingawaje nilikua nampenda siku zote hizo!Cha ajabu baada ya kipindi hicho nikamwambia sasa tunaweza kuanzisha mahusiano;Alichonijibu sikutegemea,alisema kwa kujiamini"We can be just friends"Nilibembeleza na kutoa machozi mtoto wa kiume lakini wapi!Mpaka sasa umepita mwezi1 na sioni mabadiliko!Je,huyu msichana alinipenda kweli?
 
yah...anakupenda kama rafiki na si mpenzi.....
 
Unajifanya kudengua kama kabinti sasa imekula kwako
 
yah...anakupenda kama rafiki na si mpenzi.....

Sasa kwa nini aliniambia amefall in love with me ila baada ya mimi kufanya ujinga sasa anataka tuendelee kuwa marafiki tu!
 
pamoja na kuchelewa kumtongoza bado ulidengua, na wewe subir hyo miez miwili labda anataka kurevenge!
 
The_Emperor unajifanya sitaki nataka sasa amejikamatia buzi jingine
 

....mpe mwezi huyo naye kwake itimie miwili,...."ukuti, ukuti, wa nazi wa nazi...."
 
Reactions: LD
mwanaume haringii, kisa cha kumdengulia miezi miwili mwenzio wakati unamjua tabia yake vizuri mana ni best friend wako!! ngoja na yeye akuringie double yake 4 mothz hahaha
ila usichoke kusubiri hio ni kawaida tu
 
ulimdengulia....
Akakubaliana na hali halisi....
Akakufuta moyoni......

Hesabu umeumia....
 
lol! ndio nimesikia leo kama wanaume nao huwa wanadengua! kha! haya endelea kusubiri na usubiri haswaaaa, wenzio wamalize mpaka firigisi, we uje umalizie juice ya utumbo tu!
 
Pozi mbaya jamani..mwanamke akipenda amependa...unaleta poz..akibembelezwa kidogo kwingine..umekwisha..atahamishia mapenzi yoteeeee huko....mpaaka akusahau..:A S-rose:.
 
Anakupenda sana tuu, ila ukikata tamaa itakula kwako, msikilizie tu.
 
ulibeep umepigiwa walalama nin? kudengua si kipimo cha penz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…