Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 595
- 122
Mie nadhani huyo binti anaepuka mazingira hatarishi ya kukaa wawili ambayo yanaweza sababishwa vishawishi vya kufanya tendo la ndoa, nakuomba uwe mvumilivu tu mfuatilie taratibu kama ni wako atakuwa karibu nawe kadri muda unavyoenda, Huwezi jua pengine huyo aliumbwa kwa ajili yako. Pia ni vizuri ukawa muwazi umweleze malengo yako kwake. kama ni kuoa au la
Haf nawe kaka mbona unakuwa na haraka mno yaani valentine imepita siku kadhaa! tulia na tafakari.
Listen brother, inawezekana huyo mwanamke hajakufahamu vizuri. Possibly anatafuta uwezekano wa kupima indurance yako hasa katika uvumilivu. Zaidi ya yote, kuna uwezekano wa yeye kupima kama kweli unampenda au la. So, jaribu kujiweka wazi kwake na pia umwonyeshe kuwa huna mwingine zaidi yake!
Kakangu inawezekana huyo dada anakupenda ila anakuona kama vile unataka kumchezea2 nayeye hayuko tayari kwa hilo so lazima akuzungushe2 mpaka ajue ukweli mimi binafsi namzungusha mwanaume kama kapenda kweli namjua na kama anatamani2 kuchakachua namjua wanaume siku hizi ni waongo mno
Ushauri wangu, hebu na wewe mpotezee kama wiki 2 hivi hadi akufate home au mlikozoea kukutana. Asipopiga simu wala kutokea, futa namba yake anza new search.
Hiyo ndio inaitwa bolingo ya telephone..... mkuu mbona kuna mizigo mingi sana ya kujitwisha, kama hataki hata mkutane kuongea tu unafikiri mtafika mbali huyo... achana nae :A S 13:
acha kupoteza mdanaye, huyo yawezekana akawa na mtu mwingine na hataki kuwa muwazi
inawezekana hata huyo aliyenaye hamwamini sana hivyo mguu ndani mguu nje ndio maana anakutumia na wewe pia ili akikosa huko basi anaangukia kwako
au bado ni katoto kana woga, hivyo kavumilie tu
Preta Negra,usimvunje moyo Murefu akawa Mufupi bure,ila sababu ww ni m/mke bac unajua zaidi jinsi ya kutulaghai wanaumechanga la macho hilo....stuka...