Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyu jamaa amejizolea umaarufu kwa saluni yake ya kike, ambapo wakina dada na mama wa Dar es Salaam hasa wale maarufu wengi wao wanavutika na kushawishika kwenda kwake. Lakini pamoja na saluni kuwa ya kike, huwezi kukosa wanaume wa kutosha maeneo yanayozunguka saluni hiyo. Yaani ni sawa na kuwe na mzoga sehemu kamwe huwezi kosa ndege wanaozengea na kurandaranda.
Aristote amekuwa pia na tabia ya kupost mauno na makalio ya wanawake wanaoenda saluni kwake ambao huwa wanarekodiwa baada ya kumaliza kusukwa. Je, huyu jamaa nyuma ya hii saluni yake, sio danguro la kimya kimya kweli?