mambo mengi tuu ambayo yanaweza yakawa sababu balozi cisco kutokuwa kituo cha kazi. sina hakika kama ameisha apishwa kama bado yaweza kuwa sababu. pili kama ilivyoezwa hapo juu kwamba yawezekana anangojea kikao hicho cha mabalozi cha zanzibar. tatu inawezekana tarehe aliyopangiwa tarehe ya kuwakilisha hati za uwakilishi kwa mwenyeji wake (waziri mkuu/rais) huko malaysia ipo mbali hivyo hawezi kwenda na kuzubaa tu. nne yawezekana kabisa makazi yake huko malaysia hayajakamilika hivyo hawezi kwenda ishi hoteli (gharama). n.k, n.k
hiyo picha ya london ni ya lini? mbona anaonekana bwm na sio muungwana? nauliza tu