Hivi huyu jamaa jina lake hasa ni lipi? Maana anasumbua sana

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,037
Reaction score
24,637
Jina lilipohusishwa na zero akalikana na kutwaa jipya, na hilo jipya lilipohusishwa na Makontena yaliyohusishwa na kutaka kukwepa kodi nalo ameanza mchakato wa kulikana.
Kwa kuanzia ameanza kuyakana Makontena, kama maji yatazidi kutenganeza kina kirefu basi atalikana jina lenyewe tu na kulirudia lile lenye zero.
Huyu jamaa amezubaisha mifumo yote ya ulinzi na usalama nchini, jamaa hagusiki.
 
Jamaa anapuyanga siyo
 
Back
Top Bottom