Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Jamaa anapuyanga siyoJina lilipohusishwa na zero akalikana na kutwaa jipya, na hilo jipya lilipohusishwa na Makontena yaliyohusishwa na kutaka kukwepa kodi nalo ameanza mchakato wa kulikana.
Kwa kuanzia ameanza kuyakana Makontena, kama maji yatazidi kutenganeza kina kirefu basi atalikana jina lenyewe tu na kulirudia lile lenye zero.
Huyu jamaa amezubaisha mifumo yote ya ulinzi na usalama nchini, jamaa hagusiki.
Ohoooooo ohoooooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Codes rahisi saana si yule jamaa mwenye msambwanda kutuzidi sisi dada zake .....?