Hivi huyu jamaa mapigo yake mnamwelewa?

Mbilikimo...nashangaa Ngasa alishindwa vipi kucheza EPL
 
Mleta mada unaonekana unafuatilia sana hayo mambo ndio maana akili yako imekutuma kufikiria hivyo.
 
Huyu jamaa ukimuangalia kwa makini utagundua kuwa uti wake wa mgongo umekunjikia kwa nyuma,kwahiyo hata pozi zake zinafuata nature ya mgongo wake,ila binadamu kwakuwa tunaishi kwa kuhisi hapo siwezi kuingilia hisia za mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…