Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
na hapo ana umri wa miaka 58 na ametelekeza mke na watoto
Tanzania tungekua kama first world countries huyu jamaa ugonjwa wake ungeshatambulika kitaalamu.
hayo mambo anayoyafanya ni ya miaka ileeee!!! ameenda hapo kunywa maji tu,tena madogo,anavizia wenye nafasi zao wakiingia akapige picha nao,apost instagram, misheni town,ngapulila