Hivi huyu jamaa yupo wapi?

Hivi huyu jamaa yupo wapi?

Kama humuoni kwa sasa huenda huyo Dikteta wako na Washirika wake wamemteka Jamaa na sasa anaitwa Marehemu fulani.
 
Yupo,
sema kabadili I'd kwa Sasa.

Enz zake
Alpokua jikon alkua rafki ake sn, na ubest wao ndo ulsababisha jamaa akampgia chapuo kitengoni jamaa lazma akakae pale juu.

Tatzo,
Kuna muhuni mmoja alimchoma kwa wakubwa, kua jamaa anahujumu juhud.

Alchimbwa mkwara mzito sn, akaitelekeza I'd.

Na Tangu aitwe kamati ya maadili, yeye na mwanae wameufyata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom