prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
mpaka sasa hakuna member wa jf aliekufa kwa corona.Duh...!. Ila it's good kumuulizia member ukiona kimya, maana Corona inakula vichwa kama kinyozi!.
P
Au ndyo yule tushikaki kampuni za simu???Jamaa yuko na Uzi mwingine akifuatilia kesi waliyoifungua kwenye kampuni yao.nenda kwenye profile yake utamkuta .