Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Kuna siri kubwa sana ambayo imejificha kuhusu hizi tuzo , lady jaydee anajua ila hakupaswa kuonyesha hizo hisia zake mbele ya mashabiki ambao hatuna hatia
Hivi kwanini asijitoe kwenye hizo tunzo hili tusiangaike kumuuliza na kumpigia kura?

Pia kwanini mashabiki wana mtetea hata kwenye hili?
Hivi kwanini aonekane malaika? Hivi atajuaje ana kosea kama asipo ambiwa?
 
Give her a benefit of doubt! Kwanini iwe issue saaana! Kwani ni lazima awemo Mwaka huu?

Mwachni Jidee wetu bana nyie mnaoshabikia akina Ruge endeleeni...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mashabiki ndo waliomchagua na mashabik ndo waliompigia kura akashinda , ukweli utabaki kuwa jide ndio msanii bora wa kike Tanzania , japokuwa siku izi analewa sana sifa
 
Mashabiki ndo waliomchagua na mashabik ndo waliompigia kura akashinda , ukweli utabaki kuwa jide ndio msanii bora wa kike Tanzania , japokuwa siku izi analewa sana sifa

Bora wewe umegundua amelewa sifa zikamzidi hadi akapitiliza na kuji sahau.

Amekosa heshima kwa mashabiki wake.
 
Give her a benefit of doubt! Kwanini iwe issue saaana! Kwani ni lazima awemo Mwaka huu?

Mwachni Jidee wetu bana nyie mnaoshabikia akina Ruge endeleeni...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kwanini una mhusisha Ruge kwenye matatizo binafsi ya Jide?
 
Ana Attitude Issues....Insecured........unhappy....
Sisemi kwa ubaya ila she needs to balance and work on her emotional intelligence.....and put her shits together!
She is a good artist and hardworker tho' BUT
Jide is not 'psychologically' fit....

I know what i know!
 
Thats the big issue na hatokaa aache bila kupata mshauri wa kisaikolojia na hata akimpata kama kile kinachomkosesha raha hakipatati she will never change... Hata mashabiki wakimsusa hiyo haitabamdilisha mitazamo yake.

Jide ni mtu wakukaa na kitu moyoni ukimkera hata akikusamehe hasahau, na atafanya kile kinachompa amani ya moyo wake na sio kufurahisha kila mtu atakama anajijua yuko wrong.
 
Asante mkuu kwa kuleta nukuu ambayo itanogesha mjadala.
Cc DEMBA qn of sheba matumbo Master Legendary
warumi.

Kukumbusha tu kwenye maktaba yetu mwaka 2008 pia Gadner alimchukulia tuzo na kusema anamchukulia rafiki yake.

My take Rutta issue ya Tuzo na issue ya kutokuwepo kwenye killi tour mwaka huu ni mbili tofauti.

So hapa mnahoji kutokuhudhuria kili awards ambazo miaka zaid ya 7 haudhurii.. Kama Kili wamemtoa kwenye tour kwa kutohudhuria mbona mwaka jana alikuwepo ingawa kwenye tuzo hakwenda tangu 2008... Kili tour sio lazima ushiriki kila mwaka kwanza kila mtu anamajukumu yake, mbona Rama Dee mwaka jana alishinda na hakuwepo kwenye tour... Simply becoz anamishe na life yake huko Australia so Jide naye wamuache na life yake kule Temboni Kimara.
 
Last edited by a moderator:
huyu dada hata sura hana maskini!!...yaani angekuwa hana hivyo visenti sijui angekuwaje!!...havutii hata kwa kulazimisha!...sijui anachoringia ni nini!

Pesa ndugu yangu , anachotaka anapata , maisha kayapatia , wenye sura nzur ndo hao wanahangaika kuwekwa folen n wanaume wagongwe walipiwe kodi za nyumba
 
huyu dada hata sura hana maskini!!...yaani angekuwa hana hivyo visenti sijui angekuwaje!!...havutii hata kwa kulazimisha!...sijui anachoringia ni nini!

Ameshakuwa navyo sasa mwache aringe uzuri Mungu akunyimi vyote kawapa hao bongo movie uzuri kawanyima akili ya maisha, yeye kamnyima sura mzuri kampa pesa na akili ya kuzitafuta.
 
qn of sheba Tatizo langu na Jide si sababu za kuto kujumuhishwa kwenye kili tour na hilo wala halnisumbui kabisa maana si kila msanii ataperfom na si lazima Jide awepo. Na sidhani kama kuto kuja kwenye tunzo ndio sababu za kutokuwekwa na wala sijali husisha kabisa.

Mimi kinacho nisumbua ni yeye kuonesha dharau kwa KTMA na kwa mashabiki wake tulio mpigia kura hasa kwenye hile tweet.
Kwa nini asiseme kuwa tusimpigie kura?
Pamoja na kuto hudhuria toka zamani kwanini aendelee na hiyo tabia?
Hivi kila siku ana dharura? Kwanini asijitoe kabisa tujue moja?
 
Last edited by a moderator:
Mtanzania jiamin na simama mwenyewe . Haya mambo ya ziara ya wasanii kwan ndo sifa ya kuwa mashuhur.???? Tumia akil yako simama ww kama ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…