Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rashid huyoWanasema huyu alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba au wametengeneza?
Hapa mimi namwona msaani wa Bongofleva!
Na mimwenyewe nilitaka kusemaAnafanana na Mondi
Na mimwenyewe nilitaka kusema
Huyu alikua mchezaji wa Simba akiitwa Abdallah Mwinyimkuu aka Abdallah Pele, alijiunga na Simba akitokea timu ya Shycom ya Shinyanga yeye na Lukas Nkondola-rip. Ikumbukwe wakati huo pia kuna wachezaji Ismail Aden Rage na Hassan Sakulu nao walikua Simba wakitokea timu hio hio ya ShyCom. Hawa jamaa wote ni wazaliwa wa Tabora.Abdallah Mwinyimkuu, nipo tayari kusahihishwa na wahenga wenzangu.
Ahasante Mkuu kwa taarifa...hili jina ni kati ya Majina maarufu sana yaliyonikaa kichwani ya Wachezaji wa Simba wa enzi hizo.Huyu alikua mchezaji wa Simba akiitwa Abdallah Mwinyimkuu aka Abdallah Pele, alijiunga na Simba akitokea timu ya Shycom ya Shinyanga yeye na Lukas Nkondola-rip. Ikumbukwe wakati huo pia kuna wachezaji Ismail Aden Rage na Hassan Sakulu nao walikua Simba wakitokea timu hio hio ya ShyCom. Hawa jamaa wote ni wazaliwa wa Tabora.
Hao wengine hata mie sikuwaona ila niliwasikia tu nikiwa huko Shy. Ila Abdallah Pele Mwinyimkuu nilimuona akiwa nahodha wa ShyCom kabla hajaenda Simba. Rage na hao wengine ni story toka kwa mzee maana alicheza nao mpira ShyCom.Ahasante Mkuu kwa taarifa...hili jina ni kati ya Majina maarufu sana yaliyonikaa kichwani ya Wachezaji wa Simba wa enzi hizo.
Ni ajabu hao uliowataja nae sikuwasikia kwa ukubwa ule, pia kuna Lila Shomari n.k.