Hivi huyu kweli siyo Boss wa Hamas Ismail Haniyeh kapiga picha karibu na Mwijaku alivyoenda kuhiji?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia.




Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…