nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Aisee huyu dogo ni genius wa muziki wa bongo.
Nyimbo za vilio vya mapenzi yuko poa. Sikiliza Inatosha na Unanionea utanielewa. Nyimbo za kuruka sikiliza Mama Amina. Nyimbo za kufurahia penzi sikiliza For You
Huyu dogo atafika mbali sana narudia tena kusema hili. Naiona nidhamu ya hali ya juu kwa management yake na ana mashairi ya peke yake na midundo inafanya muziki wake usikuchoshe kuusikiliza.
Aisee huyu dogo ni level nyingine