njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naona karudi kwa kasi kudhalilisha wapinzani, maana aliingia anga za kibabe akatulizwa kibabe pia, au siyo yeye huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alisota osterybay polisi ndugu zake wakawa wanaomba watu wapaze sauti naona karudi kuwaonea wale ambao hata wakitukanwa hakuna mashtaka
Kwa Katuni ya pili alistahili kupata onyoalisota osterybay polisi ndugu zake wakawa wanaomba watu wapaze sauti naona karudi kuwaonea wale ambao hata wakitukanwa hakuna mashtaka
Hana mvutoNaona karudi kwa kasi kudhalilisha wapinzani, maana aliingia anga za kibabe akatulizwa kibabe pia, au siyo yeye huyu?
View attachment 2139645View attachment 2139646
Makalio huyo hajui hata kiki zinatafutwaje kmmmmmk!!!Hana mvuto
Kipanya, Kingo na Kabwela watabaki kuwa exceptionals daima
Hatari snNi tofauti
Wa juu ni Freddy
Wa chini ni John opter fwema, bado ana kesi ya kujibu