MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ndiyo kakuwa kitaaluma zaidi maana wasafi bila kujichetua hutokiNa kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo?
Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua kuwa huwa Kichwani mwake anakaribisha Moshi wa Mmea fulani hivyo kwa ile Fujo aifanyayo pale Studio na yale Makelele Kero yake wala simshangai.
Orest Kawau umebadilika sana Ndugu.
Mzee wa city mpaka huku napo upoBila kuwa mvuta bangi pale wasafi huwezi fanya kazi
Wasafi,clouds fm na efm hizi ni media za burudani na mahususi kwa vijana zipo tofauti na TBC 1 au ITV hata uwendeshwaji wake upo kitofauti kwa kulenga vijana Zaidi ukilijua hili mtoa mada pamoja na wewe msingekuwa na mawazo hayo mlionayo hivi vitu mnavyobeza ndio zinazofanya wawe na wasikilizaji wengi kuliko TBC1Kule usipojitoa ufahamu unafukuzwa kazi